Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Anaitwa Rah p uyoZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
Raha PZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
yaaa hata maunda zorro sijui kama sasa ameachaMasikini ina maana aliishia kwenye uteja?
Sasa huyo ndio teja kabisa. Kuna clips ziisambaa sana yupo ughaibuni anaomba msaada kwa WatanzaniaZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
Dada Dah Jo tumekukubaliii... Na badooo nadhani hakuna swali...Pia kulikuwa na mwanadada mwingine anaitwa Da Joh
Na mashabiki wamejaa kisado...sadoZay B sasa niko gado gado mashabaki........
Hivi Rah P (kama Mtutsi ama msomali flani hivi) huyu hapa chini kuna makala yake na wimbo wake wa piaZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
Duuuh imekuwa muda aisee nadhani ashakuwa mama kabisa huyu......daah those days bana!!week kama mbili zilizopita nilimsikia sister P akihojiwa est africa nae anarudi akwenye game sijui huyu adui yake zey B nae atakuja tena kwenye games kama mwenzie
Mashairi yamejaa kisado sasa mtu alisema mashaili yamejaa kisado angeweza kutomboa mpaka leo kweli
Duuh nyie watu mna mambo aisee...kumbe inatakiwa uweke malengo ya kujenga ghorofa na hata ikitokea umefeli unajenga nyumba ya kawaida...(nimecheka sana wazee)Hilo ndio Tatizo angesema Mashairi Yamejaa PIPA au SIMTANK mpaka sasa angekuwepo kwenye fani maana yangekuwa yamebaki hata nusu lakini kwenye KISADO akitoa nyimbo tatu yanaisha.
Mashairi yamejaa kisado sasa mtu alisema mashaili yamejaa kisado angeweza kutomboa mpaka leo kweli
Itakuwa kwenye birika mkuuKisado kimeisha mkuu
Sister p bado mgumu au kakubali kuitwa mama..?week kama mbili zilizopita nilimsikia sister P akihojiwa est africa nae anarudi akwenye game sijui huyu adui yake zey B nae atakuja tena kwenye games kama mwenzie
Dah aisee yule mtoto alikuwa hot balaa!!! Mkuundugu yangu nipe mawasiliano yake tafadhaliZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
We umesahau enzi zile skuli unaweka malengo upate banda,majibu yakitoka una karai lako!! Sasa wewe weka malengo karai majibu yakija una mswaki!Duuh nyie watu mna mambo aisee...kumbe inatakiwa uweke malengo ya kujenga ghorofa na hata ikitokea umefeli unajenga nyumba ya kawaida...(nimecheka sana wazee)
Majibu ya yupo gado sikutegemea... ila nimecheka
ππππMashairi yamejaa kisado sasa mtu alisema mashaili yamejaa kisado angeweza kutomboa mpaka leo kweli
Ohooo ngada tenaNenda buguruni sheli mitaa ya kimboka walikuwa na kiofisi cha familia yao naye alikuwa anaonekana sana pale ila inasemekana teja
Hey Da Joh, tumekukubali.Pia kulikuwa na mwanadada mwingine anaitwa Da Joh
Rah P huyoZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani