Mwanadada Maria Sarungi ni nani ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Huyu dada namuona sana kwenye mitamdao ya kijamii hasa tweeter akijinasibu kuwa mtetezi wa haki za binadam na uhuru wa vyombo cha habari.

Yupo karibu sana na mwenzie Fatuma Karume.

Mwenye CV na back ground yake please atupatie hapa.

Asanteni

 
Tsehai received her degree in Humanities in 1999 from the University of Eötvös Loránd, Hungary.[6] She is versed in communication, journalism, and the fashion industry. She also owns her own communication company, Compass Communication.[7] She has participated in the making of films such as Am Tired (2005) and Born on Fire (2008).-Wikipedia

Maria Sarungi Tsehai is a Tanzanian activistknown for her online campaign "Change Tanzania". Change Tanzania began as a hashtag on Twitter (#changeTanzania)[2] to influence Tanzanian citizens to participate in bringing positive change in different aspects of life, especially in political matters in Tanzania. She is also known for helping young women to attain their goals in the fashion industry[3][4] as she is a director of miss universe Tanzania
 
maria, kumbusho, abdul, anderson(kama sijakosea) wanafanya kazi nzuri sana mtandaoni. nawakubali!
 
Me namjua Kama mtoto was Prof Sarungi,alisoma Tambaza (Kama sikosei) kwa sekondari na chuo kikuu Hungary.Ndiye mwanzilishi was mashindano ya miss universe kwa upande was Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…