Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mwanachuo Salvatory Mwakamele ametia nia Udiwani Kata ya Segerea. Mwakamele alishawahi kuwa kiongozi wa Tawi la UVCCM - Chuo Cha Tumaini Dar es Salaam, Mkurugenzi mkazi wa AUSP ( African University student Platform) - TANZANIA.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu wa UVCCM Tawi la Migombani - Segerea mapemaa leo amechukua fomu kuwania udiwani- Segerea.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu wa UVCCM Tawi la Migombani - Segerea mapemaa leo amechukua fomu kuwania udiwani- Segerea.