Mwanachuo anywa sumu

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Mwanachuo anaesomea UZAMILI ktk chuo kikuu cha Dare sa laam kwenye kitivo cha utawala amepoteza maisha baada ya kunywa sumu kutokana na kufanya vibaya kwa matokeo yake ya semister ya kwanza.
 
huyu elimu haikumsaidia!!!
 
JINGA HILO. KUNA WATU INABIDI WAFE WANATUZINGUA TU HAPA Tz halafu hawafi.Why asingeondoka hata na mmoja? Hata yule mjumbe wa bunge la katiba anayezingua hakumuona?? ARGGGH!!
 
"Ukiona mtu anazimia msibani ujue huyo ananguvu ndogo"

R. I. P.
 
Wasomi kunani tena!! Juzi kati msomi wa mzumbe nae kajinyofoa roho
 
siyo udsm bhana ni mzumbe na alikuwa anasoma mastez ya uchumi,,anaitwa peter kinyasi
 
Watu wanajua kupotosha habari jamani, Mimi mwenyewe nimeshangaa, ni mzumbe ya morogoro, jamaa alipata disco semester ya kwanza , alikuwa anachukua masters ya finance
 
siyo finance ni economics,,mm namjua huyu mtu kama brother angu,,mm ndiye niliyempeleka fomu za kuomba masterz,,alikuwa ni mkuu wa idara ya mipango katika halmashauri ya kondoa,,na kazikwa kwao jana njombe
 
OK, thanks kwa marekebisho, I was told with my brother ambaye walikuwa wanasoma wote apo
 
Mwanachuo anaesomea UZAMILI ktk chuo kikuu cha Dare sa laam kwenye kitivo cha utawala amepoteza maisha baada ya kunywa sumu kutokana na kufanya vibaya kwa matokeo yake ya semister ya kwanza.

kama hiyo ndio sababu basi huyo atakuwa punguwani...kuna kipindi nilisoma interview ya mohammed dewji 'mo',alisema hivi..ngoja nijaribu kunukuu kwa kiswaz coz ilikuwa kwa kimombo...."kuna baadhi ya watu wakiniona hivi nilivyo wanadhani kuwa sikuwahi kupata failures katika maisha yangu.ukweli ni kwamba katika mzungoka wa maisha kuna kipindi ni lazima ufeli kabla ya kufaulu"nadhani huyo belimu haikumsaidia kabisa,hivi amekuwa akipata div 1 tangu aanze kusoma?
 
siyo finance ni economics,,mm namjua huyu mtu kama brother angu,,mm ndiye niliyempeleka fomu za kuomba masterz,,alikuwa ni mkuu wa idara ya mipango katika halmashauri ya kondoa,,na kazikwa kwao jana njombe

Kwa hiyo wewe inabidi ulaumiwe na familia kwa kusababisha kifo cha ndugu yao. Uenda usingempelekea hizo fomu hasingeomba kujiunga na masomo ya masters na hivyo asingejiunga na chuo na tena asinge disco. Unajisikia amani kweli moyoni?

Tiba
 
Ninavyosema brother siyo ndugu,,ni mtu mzima ambaye nina muheshimu kama brother,,na hizo fomu alipa mwenyewe nimpelekee maana muda huo mm nilikuwa nasoma masterz pia mzumbe,,sina amani moyoni coz ni mtu ambaye alikuwa ananisaidia matatizo madogo kama wiki 2 zilizopita wakati wapo kwenye paper nilifikia kwenye rum lake pale mzumbe,,
 
Pole sana ndugu yangu. Kwa kawaida kikitokea kifo anakuwepo mtu wa kumnyooshea kidole lakini tunasahau kwamba kifo kipo tu hata ufanyeje, iko siku huyo mtu angekufa hata kama sio kwa sababu ya kudisco.

Tiba
 
Muache afe siku zake zimefka apumzike vema moton AMEN!
 
Pole sana ndugu yangu. Kwa kawaida kikitokea kifo anakuwepo mtu wa kumnyooshea kidole lakini tunasahau kwamba kifo kipo tu hata ufanyeje, iko siku huyo mtu angekufa hata kama sio kwa sababu ya kudisco.

Tiba

ndiyo hivyo ila mpaka saizi siamini kama kachukua uamuzi huo maana ni mtu ambaye alikuwa na kazi yke tayari tena mkuu wa idara na anavuta mil na kitu kwa mwezi na kupata masterz au kukosa hakumtoi kwenye position yake,,ila tumwachie mungu ndo mpanga wa yote,,
 
aisee nawe unajibu kabisa swali kama hilo na ufafanuzi juu,kwa hiyo asingekuwa anakusaidia ungeona poa tu,kweli dunia ina mambo,tusiwashangae wajumbe wa katiba na uroho wa posho,kila mtu ni mbinafsi....
 
Watu wanajua kupotosha habari jamani, Mimi mwenyewe nimeshangaa, ni mzumbe ya morogoro, jamaa alipata disco semester ya kwanza , alikuwa anachukua masters ya finance

Disco?!, semester one??!!,tena masters??!! Closer to impossible.
 
Kwa hiyo wewe inabidi ulaumiwe na familia kwa kusababisha kifo cha ndugu yao. Uenda usingempelekea hizo fomu hasingeomba kujiunga na masomo ya masters na hivyo asingejiunga na chuo na tena asinge disco. Unajisikia amani kweli moyoni?

Tiba

Logics zako zina mantiki, lazima jamaa akose amani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…