DEFAMATION Senior Member Joined Jun 19, 2017 Posts 110 Reaction score 69 Jun 21, 2017 Thread starter #22 Threesixteen Himself said: ! ! Mgeni wewe ni ke au me? Click to expand... ME Wewe je?
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Jun 21, 2017 #23 Kwanza tuambie wewe ni timu Malinzi au Hali mayai?
DEFAMATION Senior Member Joined Jun 19, 2017 Posts 110 Reaction score 69 Jun 21, 2017 Thread starter #24 jogi said: Kwanza tuambie wewe ni timu Malinzi au Hali mayai? Click to expand... Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu. Timu za umbea na majungu nawaachia wavulana na wasichana Mkuu.
jogi said: Kwanza tuambie wewe ni timu Malinzi au Hali mayai? Click to expand... Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu. Timu za umbea na majungu nawaachia wavulana na wasichana Mkuu.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Jun 21, 2017 #25 DEFAMATION said: Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu. Timu za umbea na majungu nawaachia wavulana na wasichana Mkuu. Click to expand... Automatically kama una sound kilumumbalumumba!!
DEFAMATION said: Sina timu na siwezi kuwa na timu hata siku moja labda timu ya kupiga kazi kuongeza kipato na siyo timu za umbea na majungu. Timu za umbea na majungu nawaachia wavulana na wasichana Mkuu. Click to expand... Automatically kama una sound kilumumbalumumba!!
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,349 Reaction score 8,081 Jun 21, 2017 #26 DEFAMATION said: ME Wewe je? Click to expand... ! ! Avatar yangu inajieleza
Bobdon Senior Member Joined Jun 8, 2017 Posts 197 Reaction score 287 Jun 21, 2017 #27 jogi said: Automatically kama una sound kilumumbalumumba!! Click to expand... Umaanisha nini? Kwanini umefikiria hivyo Mkuu?
jogi said: Automatically kama una sound kilumumbalumumba!! Click to expand... Umaanisha nini? Kwanini umefikiria hivyo Mkuu?
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Jun 21, 2017 #28 Id yako mie hooooooi: Defamation mmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Jun 21, 2017 #29 Bobdon said: Umaanisha nini? Kwanini umefikiria hivyo Mkuu? Click to expand... Angalia kwa jicho la ukweli alivyoiandika "kazi" na sentesi zinazoizunguka hiyo "kazi"
Bobdon said: Umaanisha nini? Kwanini umefikiria hivyo Mkuu? Click to expand... Angalia kwa jicho la ukweli alivyoiandika "kazi" na sentesi zinazoizunguka hiyo "kazi"
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Jun 28, 2017 #30 Karibu sana member mzoefu, ile ID ya zamani naona umeipumzisha hahaha
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Jul 4, 2017 #32 Karibu Ndugu, usije kushangaa baadae unaitwa Mkuu, hii inamaanisha umeingia katika UWANJA wa WAJANJA... Tabia za kule FB na Insta, unaweka pembeni kidogo. Karubu tena.
Karibu Ndugu, usije kushangaa baadae unaitwa Mkuu, hii inamaanisha umeingia katika UWANJA wa WAJANJA... Tabia za kule FB na Insta, unaweka pembeni kidogo. Karubu tena.
DEFAMATION Senior Member Joined Jun 19, 2017 Posts 110 Reaction score 69 Jul 8, 2017 Thread starter #33 Mgodo visa said: Karibu Ndugu, usije kushangaa baadae unaitwa Mkuu, hii inamaanisha umeingia katika UWANJA wa WAJANJA... Tabia za kule FB na Insta, unaweka pembeni kidogo. Karubu tena. Click to expand... FB ndiyo nini?
Mgodo visa said: Karibu Ndugu, usije kushangaa baadae unaitwa Mkuu, hii inamaanisha umeingia katika UWANJA wa WAJANJA... Tabia za kule FB na Insta, unaweka pembeni kidogo. Karubu tena. Click to expand... FB ndiyo nini?