MwanaCHADEMA aliyepigwa tofali na wanaCCM miaka 7 iliyopita apata matatizo ya kiafya. Aden Rage, Jaffo na Marry Chatanda wakamatwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,657
218,147
2183704_IMG_1183.jpg

Anord Swai mkazi wa Dodoma , kijana aliyekataa kukubali bendera ya Chadema kushushwa kwenye kijiwe cha boda boda na wanaccm , alivamiwa na kupigwa tofali la kichwa , ambapo pamoja na kushambuliwa bado alipambana na kuhakikisha bendera haishushwi kibwege.

2295457_manachadema-ashambuliwa.jpg

Baada ya kulidhibibiti kundi kubwa la wanaccm wenye visukari na BP akiwemo Aden Rage , majeruhi huyo alikimbizwa hospital ya mkoa na kushonwa utitiri wa nyuzi na kuruhusiwa .

2295462_mwanahadema-ashambuliwa2.jpg

Lakini sasa imegundulika kwamba kumbe alipata tatizo kubwa kwenye ubongo na ameshauriwa kupumzika na kutofanya shughuli yoyote kwa angalau kwa miezi 6 , mtu huyu ambaye shughuli yake ni udereva wa boda boda huku akiwa na familia yake maharamia wameamua kumletea dhiki nyumbani kwake , kuna haja ya jamii kuingilia kati .
 
View attachment 1467123

Anord Swai mkazi wa Dodoma , kijana aliyekataa kukubali bendera ya Chadema kushushwa kwenye kijiwe cha boda boda na wanaccm , alivamiwa na kupigwa tofali la kichwa , ambapo pamoja na kushambuliwa bado alipambana na kuhakikisha bendera haishushwi kibwege.

View attachment 1467131

Baada ya kulidhibibiti kundi kubwa la wanaccm wenye visukari na BP akiwemo Aden Rage , majeruhi huyo alikimbizwa hospital ya mkoa na kushonwa utitiri wa nyuzi na kuruhusiwa .

View attachment 1467133

Kwani kumetokea nini?!

Naona wana Ufipa wote mnashuka na nyuzi za hii picha!
 
Kikubwa Chama kinapaswa kumuhudumia hadi apone
 
Shauri yake huyo kamanda uchwara. Siku hizi hata makamanda wenyewe wanaona aibu kuvaa hayo magwanda. Aende ufipa akachangiwe huko.
 
Japokuwa tukio ni la muda mrefu toka enzi za Jakaya, lakn kwa mujibu wa picha huyo jamaa ni Mpumbavu wahed..!!

Alipataje ujasiri wa kuvamia mkutano wa chama kingine na kuanza kufanya vurugu zisizo na kichwa wala miguu??? Mnavutishwaga bangi juani au..!??

Alipata alichostahili,,, safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom