Jamani naombeni kuuliza, matokeo yaliyotoka ni darasa na 7 au form 4. Maana naona ujana mwingi humu kwenye MMU. Na hivi hamna sehemu pendwa ya kuombea urafiki au gf/bf? Huku naamini wengi ni watu waliovuka hiyo stage. lol!!!!
Siwez kukulaumu...hujielewi wewe
(1)kwa mtazamo wako nini maana ya urafiki?
(2)Je marafiki wote ni lazima wakutane facebook?
(3)Unayemuuliza ni nani?
(4)Huna rafiki humu JF?
(5)JF hakuna Friend request option?
Mwisho nakutakia Div 5 NJEMA...