Mwana mziki JET MAN ni mgonjwa

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Ndugu zangu wana JF, Hususani wanamziki na wakazi wa MWANZA . mtajwa hapo juu ni mugonjwa sana kwani hawezi hata kutembea, kwa. kwa wasio mfahamu anaitwa SAMSON WILISON alisomea shule ya msingi Nyamanoro na kuhitimu mwaka 1994, akajiunga ktk mziki enzi za kina JONTWA JOKER,kwa atakae guswa anaweza kufika kwao kumjuria bari. kwao ni mtaa wa MSUMBIJI KAWEKAMO PASIANSI MWANZA.stend ya NYASAKA MZUNGUKO. uliza kwa mzee WILISON.
 
Huyo mgonjwa wako hakuna mtu anamjua-ila augue apone pia na mapenz ya mung yatimizwe
 
Poleni sana, ila hujaweka sawa maelezo yako!! Amewahi kutoa hits ngapi na zinaitwaje au ana albam ngapi sokoni ili tupate kumfahamu vyema, poleni sana.
 
Jet man huyu jamaa alikua bingwa wa ragamufin hapa bongo miaka ya 2000 alitamba sana na ngoma yake "pozi la kichokozi"
 
Nakumbuka star tv alishawahi kuhojiwa nadhani kama amepatwa na kiharusi hawezi tembea.
 
Dah mpe pole sana. Mwambie nampa hi sana Jamaa yupo vizuri sana, nakumbumbuka nyimbo zake mbili tatu mfano kuna ule wa huyu demu mcheck pozi na twende kwa wazazi wakakuone mchumba. Mia
 
Dah mpe pole sana. Mwambie nampa hi sana Jamaa yupo vizuri sana, nakumbumbuka nyimbo zake mbili tatu mfano kuna ule wa huyu demu mcheck pozi na twende kwa wazazi wakakuone mchumba. Mia

mi nimekuwa nae kama dogo langu, tumepiga vibarua vya kuchimba misingi ya majengo, ila kwasasa niko mbari nae, .naomba Mungu anijarie nirudi Mwanza nikamuone.
 
Tatizo la wasanii wengi wakipata hela ni matanuzi tu na wanawake kila sampuli. Wakitetereka au muziki kuchuja wanakuwa maskini wa kutupwa. Wakafanyiwe maombi pepo la ngono na kutapanya mali liwatoke. Pepo nakuamuru toka kwa jina la Yesu..... Motoooooo.
 
Back
Top Bottom