Mwana mpotevu nipokeeni

malisak

JF-Expert Member
Mar 16, 2006
694
772
Jamani mie mwana mpotevu toka 2020 sijaingia ndio nimerudi najua wengi wageni ila nilikuwepo toka 2006 hamsini kweusi wengi tumepotezana jamani mko wapi akina papak @babykibaki @jeansal6 @esmaralda @mzeemwanakijiji Mimi Mumewangu na wengineo. Mkorogo vyogo wa kurecruit wana FISIEMU ulitusambaratisha ila naona wameelewa now huu uzi ni wa nini. Waungwana nipokeeni nikumbusheni na kuwatag wahenga na wageni tuendeleze gurudumu
 
Ayaaa umerudi ya nini na nilikula hela za rambirambi yako niliwaambia wana jf kuwa umedanja.
ila usiwaze ukifa kweli sitawaomba tena mchango ntafidia ile waliyotoa
 
Si umekula in advance hakuna shida tehe.
 
Jamani mie mwana mpotevu toka 2020 sijaingia ndio nimerudi najua wengi wageni ila nilikuwepo toka 2006 hamsini kweusi wengi tumepotezana jamani mko wapi akina papak @babykibaki @jeansal6 @esmaralda @mzeemwanakijiji Mimi Mumewangu na wengineo. Mkorogo vyogo wa kurecruit wana FISIEMU ulitusambaratisha ila naona wameelewa now huu uzi ni wa nini. Waungwana nipokeeni nikumbusheni na kuwatag wahenga na wageni tuendeleze gurudumu
Tunaomba kufahamu kwanini ndugu yetu mpendwa tulikuzoea ukapotea je ni maisha, hukuwa na simu, ulikuwa unaumwa au nini
 
Kabla ya salamu ni upi msimamo wako juu ya DP World?

Kumbuka: Msimamo wako ndio utakufanya uendelee kuwepo hapa jamvini au nikupige life ban.
 
Yaani mkuu ukitaja tu hilo jina la DP World mimi huku BP,Shell,Caltex,Total vyote vinapanda kwa mpigo. Na siku huanza kuharibikia hapo napoteza appetite ya kula na homa inapand akwa hasira. Ndhani mpk hapo ushajua msimamo wangu, nisaidie kama kuna mahali salama nikaombe uraia nihamie huko lakini sio burudi alikosema Waziri wa MAokoto
 
Baki hapa hapa uipiganie nchi yako.
 
Back
Top Bottom