Mwana kulitafuta mwana kulipata

Kama hizo chati za zamani kabla hamjaoana mueleweshe maana uzuri wa mitandao inaonyesha detail zote (mwaka mpaka tarehe )

Na kama ulifanya kipindi mpo kwenye ndoa hana imani na wewe hata kama hao wanawake hujawahi kukutana nao yaani ni ngumu kumshauri akaelewa

kua makini mkuu unaweza kupoteza uaminifu kwa mambo madogo ambayo yakamfanya aanze kuchepuka kwa lengo la kulipiza kisasi hii itakua hatari kwako
 
Kama uko safi huwezi kumkataza mke wako asiangalie simu yako,mi mpenzi ata akichukua simu yangu akae nayo mwezi ,wazazi wakipiga tu aseme nina simu yake nitampa uongee naye baadae,hivi hizi mbio mpaka lini na kwa nini umsaliti mkeo? Na ulimchagua kuishi naye na mpaka unamuamini anakuzalia watoto,Mungu atusaidie
 
Safi sana,uko kama mimi
 
Madhara ya kumkataa Yesu hizo tabia za kipepo shetan atakuchakata mpaka ukome achana na hayo mambo. Muheshimu mwenzako

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…