Mwana kulitafuta mwana kulipata

Ukitaka amani na mkeo fanya moja kati ya haya
1. Oga na Mkeo
2. Oga na Simu yako
3. Hakikisha Simu yako haikutani na Mkeo
 
mzee hapo futa kila kitu..kaa na mkeo mwambie hayo yalipita ulishabadilika msameheane..amani irudi..af mwambie simu ni privacy ya mtu..kila mtu ashike simu yake..hayo tu!!
Asante mkuu... Nimekuelewa sana
 
Kuna sehemu ukweli unaweza kukuweka huru, sababu umesem ni mambo ya zamani inakubidi umwambie ukweli huo na itachukua muda kukuelewa ila ukifanya tofauti na hichi mkuu utajilaumu sana. Hii hali ishanikuta tena wangu aliingia sehemu ambayo inatunza picha tu na zilikuwepo mpka za miaka 10 nyuma yaan ilikua utata lkn niliamua tu kua mkweli wa hizo picha na akanielewa ingawa ilichukua muda kidogo kurudi ktk hali zetu.
 
Ooooh saw saw
 
kwa alichokiona hata kama yataisha tegemea atalipa kisasi iwe utajua au hautajua, piakama we mzembe wa kufuta data jitaidi kuweka pattern kila kona.
 
kwa alichokiona hata kama yataisha tegemea atalipa kisasi iwe utajua au hautajua, piakama we mzembe wa kufuta data jitaidi kuweka pattern kila kona.
Kwakweli kwa aliyoyaona ni makubwa. Sijaeleza yote. Kuna uwezekano mkubwa wa ndoa kufa ama kulipiza
 
Kwakweli kwa aliyoyaona ni makubwa. Sijaeleza yote. Kuna uwezekano mkubwa wa ndoa kufa ama kulipiza
ndoa haiwezi kufa, atapitia wakat mgum ajili ya wivu maana hata wewe japo una madudu hayo bado ungeona yake nawe ungejisikia vibaya as if yako huyaoni.

katika zama hizi ke & me wanaotumia social network wote wanamahusiano yasio rasmi mitandaoni bt unapofuma ya mwenza lazima utaumia bt nayeye anayo yake.
 
Da nikweli
 

ndg karibu glass ya juice ya passion baridii.
 
Mkuu umesema ni madudu ya long time sana sasa kwanini hukuyafuta ilhali unajua fika tabia ya mkeo.

Mkuu chepuka kwa tahadhari acha kuzubaa na uzembe.

Nilichokugundua mtoa mada ni kibri au jeuri ni aina ya wanaume wanaofanya tuitwe lile jina lao pendwa

Wanaume wote mbwa [emoji3]
 
Huyo ni mwanamke mpumbavu
Samahani kama utaona nimemtukana mkeo.
 
Sasa na wewe umeoa mtoto wa watu unaanzaje kuendekeza ufuska..... Au sio mtamu?!
 
Hilo suala rahisi tu. Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu hilo?

Mimi naona kamfungulie shitaka la udukuzi kwani ni kosa kisheria kuingilia faragha za mtu mtandaoni.

Wakati yeye analalamika kwa wazazi anakutana na mwito wa mahakama kwa kosa la udukuzi.
 
Ni kweli kafanya kosa kupekua simu yako na si busara kupekua simu ya mwenzio. Lakini haliondoi uhalisia wa vitu vilivyokutwa kwenye simu yako. Nawe una makosa, Mme wa mtu unaanzaje kutunza vitu vya hovyo kwenye simu yako. Ingekua wewe ndo umeona vitu vya mnaona hiyo kwenye simu ya mkeo hata kwa bahati mbaya ungejisikiaje.
 
Asante kwa taarifa,

Kwakuwa hujaonesha kujutia unayomfanyia ila unajimwambafai kwa hayo..sioni mwisho salama
 
Ulizoea za Behind the camera sasa imekutana na Front camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…