Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

mdau kbt

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
401
166
nisi wachoshe wana jf.Kichwa cha habari cha husika. Kiukweli leo nimepanda hari moja na mwana jf mzuri sanaa tulikaa wote siti ya nyumba kwa kuwa alikuwa busy sana na chati nilimsalaimu tu.

Natamani aione thread hii ani inbobo napenda awe rafiki yangu wa kuchati pia.
Yaani nimejiuliza huyu ni kessie,Joanah, Valentina, Lara1 .....!!!
Mara uonapo thread hii tafadhari ni inbobo tulipanda wote gari ielekeayo makumbusho kutoka buguruni.siti ya nyuma kabisa
 
HApana mkuu ni desturi yangu kuto mgasi mtu anapofanya mambo yake. Kujua ni mwana jf ni vile jicho halina mpaka wakati natazama
Dirishani nikaona icon ya jf kwenye screen yake
Mdomo umemeza tofali.[/QUOTE
 
Mkuu huyo binti hawezi akakuinbobo hata kidogo, trust me.
Ungekua smart ungemuongelesha japo kidogo, mfn ungemwambia - Dada hebu nipe updates ya uzi unaotrend JF, maana shughuli zimenibana hata siingii JF siku hizi. Baada ya hapo story zingechanganya. Ungemlipia nauli nk nk.

Baada ya kufanya hivyo ndio ungekuja na huu uzi, kama ni urafiki tu wa kuchat lazima angekufata kwa inbobo. Lkn kwa udomo zege wako, huyo bidada keshakuona dume kaptura.
 
Tuwekee picha basi kama mtongozo umekushinda.

nisi wachoshe wana jf.Kichwa cha habari cha husika. Kiukweli leo nimepanda hari moja na mwana jf mzuri sanaa tulikaa wote siti ya nyumba kwa kuwa alikuwa busy sana na chati nilimsalaimu tu.

Natamani aione thread hii ani inbobo napenda awe rafiki yangu wa kuchati pia.
Yaani nimejiuliza huyu ni kessie,Joanah, Valentina, Lara1 .....!!!
Mara uonapo thread hii tafadhari ni inbobo tulipanda wote gari ielekeayo makumbusho kutoka buguruni.siti ya nyuma kabisa
 
Huwa natamani sana chance kama hizo, hii forum imenifanya nione watu wote humu kama ndugu zangu so kwa upande wangu, ningefunguka mapema sanaaa..tena bila woga angenielewa tu hah hah
 
Mkuu huyo binti hawezi akakuinbobo hata kidogo, trust me.
Ungekua smart ungemuongelesha japo kidogo, mfn ungemwambia - Dada hebu nipe updates ya uzi unaotrend JF, maana shughuli zimenibana hata siingii JF siku hizi. Baada ya hapo story zingechanganya. Ungemlipia nauli nk nk.

Baada ya kufanya hivyo ndio ungekuja na huu uzi, kama ni urafiki tu wa kuchat lazima angekufata kwa inbobo. Lkn kwa udomo zege wako, huyo bidada keshakuona dume kaptura.
Hahahaha , Mkuu ujasiri wa kutoa mapeme sina hahaha bora tu niwe dume suruali huhuhu. Mkuu unaweza kuchambwa huhuhu maana hf yenyewe kujua kuwa ni mjumbe ilikuwa kwa bahati mbyaya tu yena kwa kuwa jicho halina pazia
 
Back
Top Bottom