Mwana JF mtata

huyo anaeperuzi without kwenye avatar ni mwanao? au we mwenyewe?
siji mie..maombi nafanyiwa parokiani tu

Huyo ni mimi mwenyewe orijinale. Umenidondokea ghafla?
 
Halafu hilo gari likizeeka linaitwaje?

Kaka salama..? Za siku nyingi..? Umekuwa adimu sana mtaanii kulikoni..? Na hizi sifa unazopewa hapa zinakustahili kweli..?
Ni hayo tu.. Anakusalamia Paloma..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…