Unajua mimi nimewaza kama wewe. Sipendi tabia ya kusikia kitu upande mmoja na kusema ooh fulani must be a problem. No way!
Eti based on facts,how sure r u kua hizo anazotoa Lemutuz ni facts. Kiukweli situations kama hizi ni za kuwa acha wenyewe. They could all be problems here (Yaani ye na mkewe/Yaani mmoja analalamika kwa watu mwengine ajitetea Instagram !
Watu wengi wameachana na wengi wanastruggles ktk mahusiano yao but why would you involve third parties?.Wakati mkitongozana walikuepo?
Naona tatizo la kukutana watu wazima wawili na kushindwa kusolve matatizo yao in grownups way.
Sorry kwa gazeti.I hate when a person judge others that way