mtendaji wa kijiji
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 533
- 115
Maeneo ya Ngarenaro kituo cha polisi, kuna kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 35 amepata ajali kwa kugongwa na gari ya mizigo. Kijana huyo anasadikiwa kuwa ni mwanachadema kwani alikua amevaa kombati za CHAMA Na pikipiki yake ilifungwa bendera ya Chama.
Aidha hatukuweza kutambua jina kwa maramoja kwani hakuweza kuongea. Tayari Polisi wamemwandikia pf3 na mda huu anapelekwa hospitali.
Nawaomba vijana wenzangu wa CDM kupunguza Munkari wa shamrashamra ili mwenyez Mungu akijalia kesho tar 22 tukampokee Kamanda Lema kwa pamoja.
Peoplez