send to president New Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Oct 18, 2014 #1 Huenda una la kumwambia rais wako ushauri,dukuduku,pongezi, basi tujuzane yale tunayotamani kwa marais wetu,ni rahisi sana bonyeza SEND TO PRESIDENT
Huenda una la kumwambia rais wako ushauri,dukuduku,pongezi, basi tujuzane yale tunayotamani kwa marais wetu,ni rahisi sana bonyeza SEND TO PRESIDENT
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,012 Reaction score 2,050 Oct 18, 2014 #2 Atayafanyia kazi?Au kama ile hadithi ya fisi alijambia jiwe?
suleym JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,961 Reaction score 1,211 Oct 18, 2014 #3 send to president said: Huenda una la kumwambia rais wako ushauri,dukuduku,pongezi, basi tujuzane yale tunayotamani kwa marais wetu,ni rahisi sana bonyeza SEND TO PRESIDENT Click to expand... toka mlipotwambia tutume maswali yetu kwenye kile kipindi cha tido muhando na mkashindwa kuyajibu sina hamu nanyi, kwanza haiitaji kutumia maswali ya kero za watanzania akae tu wiki nzima kwenye tv ataona kero zetu. pili, hili sio jukwaa sahihi Invisible saidia huyu jamaa mahala husika.
send to president said: Huenda una la kumwambia rais wako ushauri,dukuduku,pongezi, basi tujuzane yale tunayotamani kwa marais wetu,ni rahisi sana bonyeza SEND TO PRESIDENT Click to expand... toka mlipotwambia tutume maswali yetu kwenye kile kipindi cha tido muhando na mkashindwa kuyajibu sina hamu nanyi, kwanza haiitaji kutumia maswali ya kero za watanzania akae tu wiki nzima kwenye tv ataona kero zetu. pili, hili sio jukwaa sahihi Invisible saidia huyu jamaa mahala husika.