MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Aug 6, 2020 Thread starter #4 Rostema said: Sijaelewa Click to expand... Subiri utaelewa tu mkuu. Asante.
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Aug 6, 2020 Thread starter #5 top kibobo said: Duuh..! Kwel alikuwa vizur. Click to expand... Ila ndio hivyo tena aisee...!
upendodaima JF-Expert Member May 23, 2013 4,072 4,482 Aug 6, 2020 #7 Huyu ni Don Nalimison bila shaka. Mkwe wa Obama huyu dadeki.
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Aug 6, 2020 Thread starter #8 mkorinto said: huyu ndio kiboko ya ccm sasa. Click to expand... Sijui kwa nini hakuchukua form ya kugombea aisee. Au alishachukua tayari...?
mkorinto said: huyu ndio kiboko ya ccm sasa. Click to expand... Sijui kwa nini hakuchukua form ya kugombea aisee. Au alishachukua tayari...?
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Aug 6, 2020 Thread starter #9 upendodaima said: Huyu ni Don Nalimison bila shaka. Mkwe wa Obama huyu dadeki. Click to expand... Hiki chuma aisee ni hatari sana mi nakikubali sana kwa kweli hasa nikiwa na stress zangu huwa napitia threads zake nikisoma tu nakaa sawa aisee. Nakuwa stress free kabisa.
upendodaima said: Huyu ni Don Nalimison bila shaka. Mkwe wa Obama huyu dadeki. Click to expand... Hiki chuma aisee ni hatari sana mi nakikubali sana kwa kweli hasa nikiwa na stress zangu huwa napitia threads zake nikisoma tu nakaa sawa aisee. Nakuwa stress free kabisa.
Idd Ninga JF-Expert Member Nov 18, 2012 5,136 4,298 Aug 6, 2020 #11 Tunasubiri kusikia tu akihama nchi
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Aug 6, 2020 Thread starter #12 LIKE said: waliokaribu naye wanafaidi Click to expand... Aisee ukiwa nae karibu huyu jamaa unaweza ukawa ni mtu wa kufurahi tu muda wote...! 🤣🤣🤣🤣
LIKE said: waliokaribu naye wanafaidi Click to expand... Aisee ukiwa nae karibu huyu jamaa unaweza ukawa ni mtu wa kufurahi tu muda wote...! 🤣🤣🤣🤣
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Aug 6, 2020 Thread starter #13 Idd Ninga said: Tunasubiri kusikia tu akihama nchi Click to expand... Hivi alisema nchi anayotaka kwenda au...? Na mwenyewe anakwambia popote ana uwezo wa kufika hana shida ya visa wala ticket, aisee...!
Idd Ninga said: Tunasubiri kusikia tu akihama nchi Click to expand... Hivi alisema nchi anayotaka kwenda au...? Na mwenyewe anakwambia popote ana uwezo wa kufika hana shida ya visa wala ticket, aisee...!