Mwamba wa ajabu jamani

Kama kawaida ya Dr. Mzizi Mkavu. Nimekubali mkuu....
 
Last edited by a moderator:
Ukikitumia kipaji ulichojaliwa na mwenyezi Mungu alafu ukikiongezea na Maalifa ya Duniani vitu kama hivi lazima viwepo bonge la kivutio hichi.
 
Jabali limechongwa picha ya mtoto akiwa kwenye tumbo la mama yake. Ubunifu kama huu ungeweza kufanyika kwenye majabali yaliyopo njiani kama unatoka mikumi kuelekea Iringa!
 
Ukikitumia kipaji ulichojaliwa na mwenyezi Mungu alafu ukikiongezea na Maalifa ya Duniani vitu kama hivi lazima viwepo bonge la kivutio hichi.
Mkuu watu wanapenda vitu natural zaidi,hii haiwezi kuwa kivutio kizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…