Toto tundu mkorofi sana kapiga rungu moja sacoss yote chali kumbe wanafaidi wao tu kina boni mayai viza ntobi na jasusi feki muuza bamia
HAlfu huku chini wanatuchangisha michango ya join the chain mbowe tapeli yule baba

Sio ninyi hapa jf mlikuwa mnasema mnachangia kwa mapenzi yenu makubwa juu ya chadema kuna yule mwanachadema kindaki ndaki wakutembeza bakuri leo yupo kimya

Jamaa yupo anawajua watz vizuri na anajua weekness ipo wapi na anaitumia vzr sana unataka kuniambia chadema hakikuwa na hela ya kumlipa mwanasheria? Kesi ya bandari imeishia wapi?