Hili dude halikufaulu kwenye issue ya demokrasia mpaka likammiminia Antipas risasi kama njugu,ila kwenye ulinzi wa rasilimali za taifa jamaa tutalikumbuka sana

JPM, yuko seat ya mbele.... Ana zoom na kucheka. Maana si kwa madhila haya. Yeye hakuwa mnafiki. Huu unafiki wetu ni dhambi mbaya sana. Bora anayesema A akamaanisha kuliko tunaovuruga vuruga tukijiita wajanja au watotio wa mjini.
Kwa gharama ya watanzania wanyonge na maskini