Mwalunenge kumrithi Dkt. Tulia Mbeya mjini

George Bush

Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
58
Reaction score
42
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya na Mfanyabiashara wa Kimataifa Ndugu Patrick MWALUNENGE ana uwezekano mkubwa wa kushinda kupeperusha bemdera ya Chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Mbeya mjini baada ya kuchukua RASMI fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya!

Tangu awe Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya kumekuwa na ongezeko la kukubarika kwa Chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya pamoja na utulivu wa kisiasa katika Jimbo la Kyela!

MWALUNENGE anatajwa kuwa na misimamo mikali katika mambo ya MSINGI katika hasa kusimamia Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020/2025!

Anatajwa kama mtu mthubutu mbunifu na mwenye Weledi mkubwa katika kila jambo ambalo amekuwa akilifanya!

Ni wazi kuwa Mh Patrick MWALUNENGE ATAKUWA Mbunge Mteule wa Jimbo la Mbeya Mjini Octoba 2025!

Hakika Mbeya mjini imepata "chuma" kingine,sioni wa kumzuia Patrick!

George Michael Uledi (0746726484)
 
Huyu Patrick Mwalunenge alipata UWENYEKITI wa CCM Mkoa mwaka 2023 baada ya kuondolewa Dr Mwakajumulo lwa njia ya rushwa aliyogawq kwa wajumbe.

Ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kilimo kwa hiyo kuwapa wajumbe bahasa hata Tsh 500,000 haikuwa shida.

Sasa tamaa yake inampeleka kugombea ubunge wa Mbeya Mjini.

Kama vyombo vya TAKUKURU vingekuwa huru, Patrick Mwalunenge HATOBOI
 
Back
Top Bottom