Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Asante nduguKila la kheri mkuu
Sawa, naomba unipatie mawasiliano yako (au email) Pm ili niwaulize wenzangu, ili mwalimu akipatikana basi nikutumie nambari yake ya simu muwasiliane.Mkuu uko mbali Makambako huna unayemjua anisaidie wanangu wawili form 2 na form 6? Science wote
Ahaaah, sawa asante kwa ushauri ndugu.Anzisha kituo chako hata hapo unapoishi.. wanafunzi watakuja wenyewe kulingana na ubora ulionao.. asante.
Vipi mkuu ulipata walimu ?Mkuu uko mbali Makambako huna unayemjua anisaidie wanangu wawili form 2 na form 6? Science wote
Sihitaji kufanya nao ujinga, niko kwa ajiri ya kazi ndugu. Mimi hata kukesha nao ninaweza. Nna mke wangu mrembo sana nnamependa sana ananitosha. Nimeokoka hayo mambo ya ajabu sifanyi. Napenda kumtumikia Mungu. Kama wataona shida nafanya na wakiume tuu ni vyema pia.Saa nne usiku? Tuition na mabinti wa secondary?
Wewe sema labda unawafundishia kwao labda. Ila suala la kuokoka sio kuwa linatoa hisia ama emotions za sex.Sihitaji kufanya nao ujinga, niko kwa ajiri ya kazi ndugu. Mimi hata kukesha nao ninaweza. Nna mke wangu mrembo sana nnamependa sana ananitosha. Nimeokoka hayo mambo ya ajabu sifanyi. Napenda kumtumikia Mungu. Kama wataona shida nafanya na wakiume tuu ni vyema pia.
Wewe sema labda unawafundishia kwao labda. Ila suala la kuokoka sio kuwa linatoa hisia ama emotions za sex.
Ni Kama useme kuwa umeokoka ukiona Simba hutokimbia ama hupati njaa so huwezi pingana na uumbaji.
Pia suala la mke wako kuwa mrembo sio kuwa wote wachepukao wake zao ni ugliest.
Kwani Kama una mshahara wa 10M ukipewa laki 5 Kama hongo huchukui.
So please be realistic and clearity.
Mana tumesoma viongozi wa dini Tena wenye makanisa wakiachanisha ndoa za watu
Acha ushamba wewe.Saa nne usiku? Tuition na mabinti wa secondary?
Acha ushamba wewe.
Kujifanya busara zimekuzidi.
KabisaM nafundisha tuition Kila siku saa Moja Hadi saa 4 usiku shule ya msingi Kila siku na Nina watoto wengi tu hususani wa kike niliowafundisha mwaka Jana wengine wapo Mtwara Tech wengine Tabora School, wengine Mustafa Sabodo kwahiyo naaminiwa kikubwa uaminifu na kufanya kilichokuleta
Pia uwe na determination