- awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education)
- aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha
- awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
- awe raia wa Tanzania
- awe mchapakazi, anayejituma na aliye tayari kuelekezwa
- kwa maelezo zaidi piga 0778350664
- shule ipo Dar-es-salaam