Shule ya secondary compassion missionary sec school inaitaji mwalimu wa masomo ya chemistry na biology.shule ipo morogoro wilaya ya kilombero.dead line 1 december 2014 12.00p.m kama upo tanyari njoo sasa upigwe interview
kumbe ndo maana umemshangaa mwenzako wa geography but sio vizuri kwa wasomi kudharauliana coz kila kitu duniani kina umuhimu wake sio kwamba masomo fulani ni muhimu zaidi but ni uwezo na idadi tu halafu pia ipo siku masomo ya sayansi nayo yatakosa mashiko !!!!
Shule ya secondary compassion missionary sec school inaitaji mwalimu wa masomo ya chemistry na biology.shule ipo morogoro wilaya ya kilombero.dead line 1 december 2014 12.00p.m kama upo tanyari njoo sasa upigwe interview
MIMI NAFUNDISHA CHEMISTRYNA BIOLOGY SAWA NA HITAJI LA HIYO SHULE. NIMEMALIZA SUA MWAKA HUU BSc. EDUCATION YA MASOMO HAYO. NIPO MBALI NAOMBA CONTACT ZA HYO SHULE.