Mwalimu wa nursery anatafuta kazi

Mwalimu wa nursery anatafuta kazi

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,976
Habari zenu?

Nimeombwa niweke tangazo hili:

Mwalimu wa shule ya awali/chekechea anatafuta kazi ya kufundisha watoto wadogo.

SIFA ZAKE:
Ana elimu ya kidato cha nne na amepitia mafunzo ya kufundisha watoto wadogo kwa ngazi ya Cheti,na ana uzoefu wa miaka minne.

Ana umri wa miaka 29,ameolewa na ana watoto.

Ni mchapakazi mzuri na mtu anayependa kazi yake ya kufundisha watoto kuanzia miaka mitatu na kuendelea.

Anapatikana Tanga mjini kwa sasa.

Kama una nafasi ya kazi au unajua wapi anaweza kupata nafasi ya kazi niPM ili nikuunganishe naye.

Asanteni wote.
 
Teachers' Junction (Teachers Networking Centre in Tanzania.)
Habari:

Tukiwa ndio tumeanza muhula wa pili wa masomo.
Tunashukuru mambo yanaelekea vizuri Mungu azidi kutuongoza.
Kwa sasa tunamahitaji makubwa na ya haraka kwa walimu wafuatao.
• Walimu wa Grade A masomo yote
o Mshahara sio chini ya 300,000/=
o Eneo: Kongowe, Mbagala,Bagamoyo,Tegeta,Mbagala Kuu,Kimara na Mbezi kimara.
o Chakula cha asubuhi na mchana.
o Mwisho ni 12/07/2014.

• Walimu wa English.
Waislamu nafasi tano. (awe na diploma ya ualimu) shule inatoa:-
o Nyumba
o 450,000/= na kuendelea
o Eneo ni Chalinze pwani
o Chakula cha asubuhi,mchana na usiku
o Umeme na maji bureeeeeee
o Mwisho ni 08/07/2014
Nb: Awe wa kiume.

Wakristo Diploma/Degree nafasi nne.
o Chakula cha asubuhi na mchana
o Eneo ni mbagala Dar es salaam
o 600,000/= na kuendelea
o Mwisho ni 08/07/2014

• Diploma Dini yoyote nafasi kumi.
Science nafasi tano.
o Chakula cha asubuhi na mchana
o Mshahara sio chini ya 450,000/=
o Eneo ni Makongo,Mbagala kuu,Kimara,Bagamoyo na Mbezi.

Art Nafasi tano.
o Chakula cha asubuhi na mchana
o Usafiri
o Eneo Mbagala kuu,Kimara,Bagamoyo na Boko bunju.
o Mshahara sio chini ya 450,000/=

Kwa mawasiliano zaidi:

Teachers' Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857

Mbeya Branch:
Near by Mzumbe University.
Phone: +255655-586906

Facebook page: www.facebook.com/teachers'junction
Blog: www.https://jamii.app/JFUserGuide.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Nb:
Like facebook page yetu na ku-invite watu wote unaopenda wapate update zote.
 
Asante kwa taarifa.!

tatizo yupo tanga,huku anahitajika lakini nipo dar
 
Mwambie atutumie email address yake kwenye
0753-810857 aeleze aliko na elimu yake.
Sisi tunaitwa teachers' junction
 
Nakupongeza kwa Jitihada zako wengi ni wazito wa kutumia mitandao..Utapata kazi. ..Nina tafuta walimu wa Elimu ya awali wawezeshwe kifursa na kimafunzo na shirika la elimu ya awali Duniani.Natafuta wawakilishi wa Mikoa.Kwa Tanga nitafurahi kuwa nawe na wengine Kwa Maelezo zaidi tumia simu 0654705550.
 
Hiyo thread inajieleza, mtafuta kazi yupo Tanga mjini na elimu yake halikadhalika uzoefu wake.

Mwambie atutumie email address yake kwenye
0753-810857 aeleze aliko na elimu yake.
Sisi tunaitwa teachers' junction
 
Back
Top Bottom