Mwalimu wa Nursery anatafuta kazi

Mwalimu wa Nursery anatafuta kazi

Natafuta pesa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
287
Reaction score
396
Habari,

Nina jirani yangu amehitimu mwaka jana, hapo udsm anashikilia shahada ya elimu ya awali na makuzi ya watoto.

Kwasasa yupo Dar es Salaam, kama ni mmiliki au una-connection basi sio mbaya kama ukimuunganisha aweze kupata kazi, apunguze makali ya maisha,

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom