tensor analysis
Member
- Dec 16, 2016
- 18
- 48
I Hold Bachelor's Degree In Mathematics (Bsc Maths) And I Have One Year Teaching Experience In Secondary Level. If There Is Any School Which Needs Mathematics Teacher Please 'PM' Me.
Kwasasa Niko Dar KiongoziUpo mkoa gani?
Shukrani, Ngoja NiwachekiWasiliana na hawa watakusaidia piaView attachment 455053
Haya BhanaEndelea kuwafundisha namba Mtaani
Kwanini unataka kufundisha wakati hujasomea ualimu??I Hold Bachelor's Degree In Mathematics (Bsc Maths) And I Have One Year Teaching Experience In Secondary Level. If There Is Any School Which Needs Mathematics Teacher Please 'PM' Me.
labda amesomea postgraduate?Kwanini unataka kufundisha wakati hujasomea ualimu??
Fuata ushauri huu,kazi utapata soonTembeza bahasha kwenye shule binafsi.
Tutajuaje kama amesomea??labda amesomea postgraduate?
Sorry Kama NimekukwazaYan ww ndo unatafuta halafu ufuatwe pm?
Naweza Kudeliver MaterialKwanini unataka kufundisha wakati hujasomea ualimu??
Wewe sio mwalimu na hatuwezi kukupa watoto wetu uwafundishe sababu huna sifa ya kuwa mwalimu..nenda kasomee ualimu kwanza ndo urudi hapa kuomba nafasi ya kazi ya kufundishaNaweza Kudeliver Material