Mwalimu wa masomo ya Sanaa nipo tayari kujitolea

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
376
127
Mwalimu wa masomo ya sanaa kwa shule ya sekondari na msingi nipo. Nipo tayari kujitole popote nchini ilimradi napewa malazi na chakula.

Kujitolea. Falsafa yangu ni kutafuta uzoefu na matokeo makubwa. Asante.

0754004189
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom