Mwalimu wa Madrassa alawiti mwanafunzi wake..!

Status
Not open for further replies.
hawa jamaa tumewachoka kwa mambo yao ya kishetan din na kulawaiti wap na wap alaf kes zao hz hz inaonyesha wamezoea kuwa do watoto
 
Abdulhalim bin Njelenje bin Juma bin Zaccharia bin Mwalimu is not a kichwa bwashee. Nakubali kwamba jamii yetu bado ina u-savage wa kifikra unaotokana na hizi imani za kikoloni. With time, savagery will disappear bcoz relevance ya hizi dini nayo ita-undergo natural death. Lets hope jamii yetu izidi kuelekea usomi na ku-embrace maendeleo ya kisayansi na kuwa na fikra mpya na sahihi zaidi.

Tukipata watu wenye kama laki moja tu wenye positive thinking kama yako hata ukombozi wa waafrika utapatikana mapema. Watu wanasahau mambo ya dunia ya sasa kwa upandikizi wa chuki za kidini. Kutwa kucha kupoteza muda kwa kubishania imani walizoletewa na wakoloni.
 
HAwa MOd wakiona kitu cha dini hii wanakiacha watu watukane , ingekuwa ya Padre hapa ungeona mara moja imefungwa ! SIONI AJABU ! mbona wakuu wa dini zenu WAMEHALALISHA NDOA YA JINSIA MOJA NA INAFUNGWA KANISANI ! napoabudiwea Mungu baba na mwana na rho mtakatifu ! ajabu ipo wapi?

Wewe mwenyewe umetoka kutukana hapo juu, sasa MODS wa nini? Aliyebaka ni Muislamu mwenzetu na wewe ukaanza kukumbushia ubakaji uliofanywa na Padre Kimaro as if Kimaro akibaka anajustify na Ramadhan kubaka.

Tumia akili yako vizuri, ulichotakiwa kufanya hapa ni kukemea kitendo cha ubakaji na sio kutoa reference za ubakaji mwingine. Naona umefarijika kwa kuwa Kimaro naye alibaka.

Huu ndio ujinga tulionao kiasi tunakemea mauaji ya waislamu wawili yanayofanywa kwa bahati mbaya na USA na kukaa kimya wakati WAAFRIKA wenzetu hapa tu Sudan wanapouawa na wanamgambo wa Janjaweed na kuona ni sawa tu kwa kuwa Al-BAshir ni muislamu pia.

Haya niambie basi ndugu yangu mwenye akili nyingi; ungependelea mtoto wako alawitiwe na nani; Padre Kimaro au Ustaadh Ramadhan?

Jinga kabisa, wewe na huyo mama Ribosome (a.k.a Faiza Foxy kwa wasiomjua) Na nyie MODS nipigeni tena ban kwa kosa la kumtaja kipenzi chenu.
 
Ni kweli, ila kuna kauli zinakera sana! watu badala ya kuchangua in human rights wao wanaanza kashfa! hatuwezi KUNYAMA KAMWE ! ... hakuna anaependa haya yatokee na hasa ukifikiria na wewe una watoto, VITENDO HIVI VINALAANIWA NA HATA KWENYE MISAHAFU YETU AL -QURAAN VIMEKATAZWA\A WAZI WAZI, na Mtume wetu ameenda mbali ya hayo madevu kufugwa ili mwanaume asifanane na mwanamke ambayo itampelekea mwanaume mwengine kumtamani mwanaume ! lakini watu wamekalia chuki na kikashif uislamu na Mods wanaangalia tu ! HUYU AFUNGWE NA ASIUDI KATIKA JAMII... MIMI KAMA MUU'MIN WA KIISLAMU NAPINGA VIKALI na ningependa nione mtu huyu ANANYONGWA !

mi kidogo nipo tofauti nawewe.natamani huyo mtu aitwe na viongozi wa dini yake na kufundishwa upya maadili ya dini yake,ukisema anyongwe je,kwa sababu kalawiti na kukamatwa au?na je anayezini na anayelawiti wana tofauti gan?tufundishane na kuyashika maadili ya MUNGU,kama ni kunyongana basi MUNGU atuonyeshe wazinzi na walawiti wote,na hakika watabaki watoto wachanga na baadhi tu ya watu wazma na vijana!,watu/wazinzi wanaogopa kulawiti eti wakilawiti hawataonana Mungu,kwani aliyekwambia ukizini unaonana na Mungu ni nan??
...mimi ni mkristo sipingi sheria za kiislam sababu sijazisoma na mara nyingi watu ndo wabaya na sio sheria.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom