Mwalimu wa madrasa amchinja mwanafunzi wake.

Mwalimu wa madrasa amchinja mwanafunzi wake.

Status
Not open for further replies.

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
434
Reaction score
112
Mwalimu mmoja wa madrasa huko mbagala amemuua mwanafunz wake kwa kumchinja kama kuku.mwalim hy ambaye anafahamika kama ostadh,inadaiwa lengo lake kutaka kumlawiti lilishindika ndipo alipo amua kuchukua kisu na kumchinja kwa kumtenganisha kichwa na kiwili wili na yeye mwenyewe kuuwawa na wananchi wenye hasira kali.
Mungu ibarik TZ.

Souce wapo radio
 
Oops! Jmn d world ve turned upsetdown.Mungu ailaze roho ya hyo mtoto mahal pema peponi.lets term a big Emen!
 
ni kweli mkuu nimepita maeneo hayo
ni majimatitu mbagala
sikufuatilia sana nijue kisa ni nin
 
Oops! Jmn d world ve turned upsetdown.Mungu ailaze roho ya hyo mtoto mahal pema peponi.lets term a big Emen!

Watu wenye hasira kali wanaharibu mambo kwa haraka zao za kuhukumu.Sasa huyo kamwaga damu nao wamemwaga damu tutamhoji nani?Tulitaka tujue ni kitu gani anapata akilawiti tungemfinya mpaka aseme.Pia angesema kwanini amemchinja na mafundisho ya kulawiti nani alimfundisha.Hapa wameharibu!!!
 
Mwalimu mmoja wa madrasa huko mbagala amemuua mwanafunz wake kwa kumchinja kama kuku.mwalim hy ambaye anafahamika kama ostadh,inadaiwa lengo lake kutaka kumlawiti lilishindika ndipo alipo amua kuchukua kisu na kumchinja kwa kumtenganisha kichwa na kiwili wili na yeye mwenyewe kuuwawa na wananchi wenye hasira kali.
Mungu ibarik TZ.

Souce wapo radio

Lakini hili sio la kwanza kwa shule hizi. Huyu katia fora kumchinja malaika!
 
huyo ustadh ndie aliyechochea kanisa/makanisa kuchomwa moto kipindi dogo amekojolea msahafu
 
ni kweli mkuu nimepita maeneo hayo
ni majimatitu mbagala
sikufuatilia sana nijue kisa ni nin

Siyo Majimatitu mkuu, ni transfomer au wanapaita foma. Imetokea jioni hii na ikapelekea kuwa na foleni kubwa kiasi maeneo hayo...
 
Siyo Majimatitu mkuu, ni transfomer au wanapaita foma. Imetokea jioni hii na ikapelekea kuwa na foleni kubwa kiasi maeneo hayo...

poa mkuu mim sio mwenyeji sana wa maeneo haya napitaga mara mojamoja
 
Hata mm nimepita maeneo hayo ni kweli kulikiwa na foleni kubwa sana mtoto mdogo wa kiume.
 
Sasa unakuta mwl wa madrasa yupo karibu na wasichana zaidi wana walaga basi tu.RIP
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom