Kuimudu lugha fulani (yeyote Ile) nikigezo kimojawapo cha kutambua ukubwa wa ufahamu . Sasa ndugu yetu unataka kufundisha kimombo ambacho wewe mwenyewe huwezi kukimudu,hili basi tatizo . Kuwa makini na uandishi wako,jaribu kutamka unachokiandika.

We Ranyau, uko serious kweli au unatania wanajamvi??? Ikiwa upo "serious" fuatilia ushauri unaopewa, huna sababu ya kupaniki kama unavyoonekana kuchanganyikiwa. Rekebisha kiingereza chako, hakifanani na mtu wa chuo kikuu, tena uliesoma "language".