Uko wapi?Mimi ni mwanafunzi ninayejisomea masomo binafsi kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa kidato cha sita.
Naomba mwalimu yeyote aliye tayari kunifundisha General Studies anitumie sms INBOX ili tuweze kuzungumza.
Kama upo dar utafundishwa bure nitafute 0744527129Mimi ni mwanafunzi ninayejisomea masomo binafsi kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa kidato cha sita.
Naomba mwalimu yeyote aliye tayari kunifundisha General Studies anitumie sms INBOX ili tuweze kuzungumza.