Mwalimu wa kiswahili anahitajika

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
784
Reaction score
2,814
Habari wakuu!

Namtafuta mtu mweye uwezo wa kufundisha kiswahili kwa watu ambao kiswahili ni lugha ya kigeni.

Muhimu
Awe na ujuzi wa kufundisha
Awe na ujuzi wa kuongea kingereza
Awe na uwezo wa kuongea mbele ya kamera (Asiwe "Camera shy")

*Nicheki PM
 
Nipo hapa nichek pm au call 0674473835

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipo hapa mwalimu mbobezi kabisa wa lugha ya kiswahili kwa wageni, nimethibitishwa na kutambuliwa rasmi naa baraza la kiswahili Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…