Mwalimu wa Geography na Kiswahili

Mwalimu wa Geography na Kiswahili

geee kay

Senior Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
112
Reaction score
63
Ndugu wana JF nimerudi tena kuomba msaada wenu, wa kunisaidia shule ya kufundisha kwa masomo ya Geography na Kiswahili. Nina shahada ya ualimu(Baed) kutoka chuo kikuu UDSM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ndugu yangu pia karibu mtaani tupige kazi. Hii ni serikali ya "HAPA KAZI TU". Jaribu kutafuta kazi yoyote itakayo kupatia kipato halali sio lazima ushike chaki. Wenzako wapo makwao tangu wanahitimu 2015 hawana ajira na hawataki kutoka ndani ya boksi wanalalama tu. Kaanga hata vitumbua uingize walau 2000 kwa siku si haba
 
Back
Top Bottom