Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,649
- 1,497
Kheri ya mwaka mpya wakuu! Mungu atujalie kila mmoja wetu kutimiza malengo aliyojipangia kwa huu mwaka mpya wa 2017.
Bila kupoteza muda napenda mnisaidie nahitaji ajira ya kufundisha shule za sekondari (O-LEVEL/ A-LEVEL). Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo ya PHYSICS na MATHS (fizikia na hesabu) kwa taaluma.
Nipo tayari kufunga mkataba hata wa miaka mitano kama maslahi yanalipa kwani baada ya hapo nitajiunga na postgraduate studies. Ufaulu wangu ni mzuri (sana) tangu O-LEVEL hadi chuoni. Natanguliza shukrani na amani iwe nanyi. Amen!

Contact: 0628044355
jiandae kutafuta hela ya kujikimu kwani serikali haitahusika kuwa safirisha walimu wapya ,nafikiri utakwepo kwenye ajira mpya itakayotangazwa kwa walimu wasayansi hivi karibuni kama una vyeti sahihi siyo vya kuungaungaKheri ya mwaka mpya wakuu! Mungu atujalie kila mmoja wetu kutimiza malengo aliyojipangia kwa huu mwaka mpya wa 2017.
Bila kupoteza muda napenda mnisaidie nahitaji ajira ya kufundisha shule za sekondari (O-LEVEL/ A-LEVEL). Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo ya PHYSICS na MATHS (fizikia na hesabu) kwa taaluma.
Nipo tayari kufunga mkataba hata wa miaka mitano kama maslahi yanalipa kwani baada ya hapo nitajiunga na postgraduate studies. Ufaulu wangu ni mzuri (sana) tangu O-LEVEL hadi chuoni. Natanguliza shukrani na amani iwe nanyi. Amen!
Contact: 0628044355
Teacher by professional mkuuBy professional or?
Asante mkuu kwa msaada wako
Poa mkuu yote heri. Vyeti vyangu si vya kugushi na ukweli uwezo ninao haswa mkuu wa kufundishajiandae kutafuta hela ya kujikimu kwani serikali haitahusika kuwa safirisha walimu wapya ,nafikiri utakwepo kwenye ajira mpya itakayotangazwa kwa walimu wasayansi hivi karibuni kama una vyeti sahihi siyo vya kuungaunga
umejaribu kufuatilia sasa hao jamaa, au huyo jamaa kaweka simu yake hapo??Asante mkuu kwa msaada wako
Nimempigia hana response nzuriumejaribu kufuatilia sasa hao jamaa, au huyo jamaa kaweka simu yake hapo??
hivi karibuni ndo ninijiandae kutafuta hela ya kujikimu kwani serikali haitahusika kuwa safirisha walimu wapya ,nafikiri utakwepo kwenye ajira mpya itakayotangazwa kwa walimu wasayansi hivi karibuni kama una vyeti sahihi siyo vya kuungaunga