Pgde husomwa kwa muda wa mwaka mmoja na mtu ambaye amesoma masomo nje ya ualimu, na unaposoma Pgde unafundishwa masomo ya namna ya kufundisha ikiwemo mitaala, kuandaa scheme of work, lesson planning kifupi inakuwa imebase kwenye Education foundation na sio masomo ya kufundishia mtu aliyesoma pdge hajui kozi yoyote ile ya Kiingereza inayosomwa chuo hajui pragmatics, discourse analysis, na hata ukimuuliza GIS ni nini hawezi kukujibu, ndio maana huwezi kulinganisha mtu ambaye amesomea ualimu pure na post graduate ya mwaka mmoja.