Mwalimu wa Economics Anahitajika

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
795
Reaction score
704
Nahitaji mwalimu wa Economics kwa ajili ya kumfundisha kijana wangu. Umbali siyo tatizo, anaweza akamfundisha hata online kupitia whatsapp n.k

Mwenye sifa awasiliane nami whatsapp kwa namba: 0653250566. Aandike ujumbe mwalimu wa Economics nitaelewa.
 
Mwanafunzi wa chuo kuhitaji tution ndo naskia kwako
Kama unasikia basi shida iko mahali maana hakuna voice note.

Mimi nimesoma na mhaya mmoja mwisho wa semister alikuwa analipiwa tuition haendi kwao likizo.
 
Mwanafunzi wa chuo kuhitaji tution ndo naskia kwako
Mzee unazijua sup, wanafunz wenye matatizo ya kiafya wengine unakuta hawahudhurii mara kwa mara, au uelewa.....

Mbona nimefundisha sana machalii na cash
 
Changanyikeni wapo wataalamu WA accounts na finance wanafundishwa twit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…