Mwalimu wa Commerce na Book-Keeping

Mwalimu wa Commerce na Book-Keeping

Flaviank

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Habari,
Mimi ni mhitimu wa degree mwaka huu(2015) chuo cha St Johns University of Tanzania kwa course ya bachelor of Commerce with Education na ninafundisha book-keeping pia commerce.

Naomba msaada wa kupata shule inayohitaji mwalimu wa masomo ya biashara, nina uzoefu wa miaka takribani mitatu kufundisha masomo hayo.

asante kwa ushirikiano wako.
 
Duuh unanikumbusha ticha wangu flani alikuwa anaitwa Chenge...!!! I loved ECA.
Ngoja waje ma~headmaster/headmistress watakusaidia.
 
Habari,
Mimi ni mhitimu wa degree mwaka huu(2015) chuo cha St Johns University of Tanzania kwa course ya bachelor of Commerce with Education na ninafundisha book-keeping pia commerce.

Naomba msaada wa kupata shule inayohitaji mwalimu wa masomo ya biashara, nina uzoefu wa miaka takribani mitatu kufundisha masomo hayo.

asante kwa ushirikiano wako.

Brother wewe ni asset...
Anza kusanya wanafunzi utapata zaidi ya kuajiriwa...
Au funguao blog toa elimu online

Weka youtube channels
Fanya watu walipie per views au wapate intro na jinsi wakitak zaidi wanalipia kwa njia za simu...
Ah come on napata mizuka ya kijasiliamali bro
 
thanks ndugu .. ushauri nimeupokea
 
Habari,
Mimi ni mhitimu wa degree mwaka huu(2015) chuo cha St Johns University of Tanzania kwa course ya bachelor of Commerce with Education na ninafundisha book-keeping pia commerce.

Naomba msaada wa kupata shule inayohitaji mwalimu wa masomo ya biashara, nina uzoefu wa miaka takribani mitatu kufundisha masomo hayo.

asante kwa ushirikiano wako.

+Kijana wewe kama upo Dom pitapita hapo city, azimio na merriwa, walimu wa biashara wachache sana,

+me mwenyewe nimesoma hiyo course hapo st john
 
Back
Top Bottom