Mwalimu wa Chemistry

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Heshima mbele wakuu,

Nina kijana wangu anatafuta ajira ni mwalimu wa Chemistry kwa anaehitaji au alie na upungufu huo tafadhari aniPM kwa mawasiliano zaidi
 
naamini hata biology unaweza kufundisha(o-level), call 0654189521
 
Kama una uzoefu wa at least miaka miwili na una either Bsc ed au Bed sc na unajiamini unaweza na unatafuta kazi ili uendelee huku ukiendeleza nipm.Only if you are seriuos!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…