Mwalimu wa Chemistry na Biology

Mwalimu wa Chemistry na Biology

KAKAYAO

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
29
Reaction score
1
Wadau wa jf,naomba msaada mwenye kujua shule ya private yenye uhitaj wa mwalimu wa chemistry na biology O-LEVEL,anipm nimpe contacts. nawasilisha wadau.
 
Al Muntazir wanahitaji mwalimu wa masomo hayo,
fanya haraka kuomba nafasi hiyo.
 
Kaka naweza pata mawasiliano yao mana npo mkoani,ili iwe rahs kuwasliana nao mkuu.
 
The human resource manager,
al muntazir schools,
p.o box 21735,
dar es salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom