Wadau habari zenu?
Naomba msaada wenu.
Nina mdogo wangu amesoma ualimu wa chekechea, anatafuta shule ya kufundisha hapa Dar-es-salaam.
Hata sehemu ya kujitolea tu (yaani shule ambayo anaweza kuwa anafundisha bila kulipwa mshahara) ili endapo wataona anachapa kazi vizuri wampatie nafasi ya kazi (kama kutatokea kuwepo nafasi)