Mwalimu wa chekechea na wanafunzi

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Mwalimu wa chekechea akawatoa wanafunzi wake nje...
Mwalimu:Angalieni juu, mnaona nini?
Wanafunzi:Mawinguuu!!!
Mwalimu:Vizuri, kingine je?
Wanafunzi:Hamna kingineee!!
Mwalimu:Je, mungu mnamuona??
Wanafunzi:Hatumuonii
Mwalimu:Sasa tutaaminije?, me ninawaambia hakunaga mungu
Dogo mmoja akadakia,,,"Mwalimu, samahani kidogo!".
Mwalimu: "Bila samahani"
Dogo akatoka mbele...Anaanza kuwauliza wenzake,,,
Dogo:Angalieni kichwani kwa mwalimu, mnaona nin?
Wanafunzi:Nyweleee!!
Dogo:Vizuri, kingine je?
Wanafunzi:Hamnaaa!!!
Dogo:Mnaona akili??
Wanafunzi:Hatuuooniii
Dogo:Sasa tutaaminije?, mim nawaambiaga hana akili huyu mwalimu

Ile chekechea ilifungwa siku ile ile, ACHENI MUNGU AITWE MUNGU TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…