Mwalim: nkikupa maandazi 6 ukala ma3 yatabaki mangapi?
M'funzi: km utanipa na mchuzi sibakishi hata 1
Teheteheteh ...........
dah huyo ndio hakuna ki2 kabisaMwalim: nkikupa maandazi 6 ukala ma3 yatabaki mangapi?
M'funzi: km utanipa na mchuzi sibakishi hata 1
MWALIMU: baba yako akikopa 5,000/= kwenye duka la mangi halafu akaenda kukopa tena 5,000/= kwenye dula mpemba, wakati wa kurudisha kwapamoja atarudisha sh. ngapi?
MWANAFUNZI: Hatarudisha ki2.
mwalimu akajua mwanafunzi hakulielewa swali akarudia tena kuuliza swali lkn mwanafunzi akajibu vilevile! "hatarudisha ki2"
MWALIMU: kaa chini we hujui ki2.
MWANAFUNZI: We ndio humjui baba yangu akikopa huwa harudishi.
HERI YA MWAKA MPYA
PPBW.