JUNK MASTER
Member
- Aug 14, 2012
- 84
- 18
WOSIA WA MWALIMU JK NYERERE
SIASA NI KILIMO
"Harakati zetu za kujenga viwanda ni vyema ziende sambamba na maendeleo ya kilimo chetu. Kwa pamoja tunapaswa kuzielekeza nguvu zetu huko. Na hata siasa zetu zionyeshe hilo. Siasa ni kilimo."
Hayati Mwalimu JK Nyerere
(Iringa, 1972)