mwalimu ni mwalimu tu

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
kuna wanafunzi wawili walikuwa ni vipanga sana darasani.Siku moja wakati mwalimu anafundisha,wenyewe wakazwa wanapiga story tu bila wasiwsi,mwalimu akwaona,akachukua fimbo akawafata na kuanza kuwatandika huku akiwauliza,
Mwalimu:Nani kasema mzungu mzee??(Mzungumzee)
Wanafunzi:Haa,mwalimu hakuna aliyesema mzungu mzee
basi walikula stick hao,hadi kuja kugundua mwalimua anawauliza nani kasema wazungumze,washashika adabu,chezeiya mwalimu wewe!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…