Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Shida gani kuanza kutembea na wanafunzi wakati mtaani wanawake wapo kibao,mwalimu ukiwa smart na kazi yako wala watoto hawawezi kukusumbua
Shangaa mkuu mitaani wapo wengi kama mvua,nawachukia sana Walimu wazinzi walimfanya mke wangu akimbie daftari lake kwa Mwalimu mpaka alipomaliza shule hakulichukua...kila mala kumsifiwa tu,wakifanya homework daftari lake kajamaa kanabaki nalo,akilifuata wakiwa wawili kanataka aingie peke yake msindikizaji hahitajiki ndipo alipoamua kuliacha daftari lake mpaka kesho....nyie walimu wazinzi subiri watoto wenu wakue lazima watendewe mnavyowatendea watoto wawenzenu na wake wenu lazima wanaumme wengine wainame juu yao......apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Pole sana mkuu, mpe hongera sana shemeji kwa kukataa kugegedwa na mwalimu wake.....!!
Wewe ndo ukawe makini unaonekana tu kwa uandishi wako, wenzio walishajipanga tangu siku nyingi wanajua wanakwenda kufanya kazi iliyowapeleka..angalia kibarua kisije ota nyasi ukiendekeza umalaya huko utayakumbuka maneno yangu.
:tape:
unahisi au unajua ulicho kiandika? hujui kua jina langu limegongewa muhuri wa moto tena na president kwa ualimu ulio tukuka.:tape:
Pole sana mkuu, mpe hongera sana shemeji kwa kukataa kugegedwa na mwalimu wake.....!!