Mbona kama unamdhalilisha mwalimu mwenzako mdada! Hata kama anakuharibia ndio uje kumsema kwenye mitandao? Haipendezi kabisaa.
Kuna aina nyingi za haki za binadamu. Mtu ana haki ya kupenda, (2). Haki ya kujieleza (Kutongoza) 3.Haki ya kukubali au kukataliwa. Pamoja na hayo, naye ana Haki ya kifichiwa siri, sidhani kama inapendeza kutaja jina la mtu na mbaya zaidi hata anwani yake, kwa maana ya mkoa, wilaya, kijiji, kazi yake, na shule anayofundisha. Hii ni kumvua nguo na utu wake katika haki yake ya kupenda, hata kama siungi mkono vitendo vyake vya kubaka mapenzi. Mapenzi ni hiari, pande zote mbili zihiari kuingia katika mahusiano ya aina hiyo. Wakati mwingine upande mmoja huwa hauoni kuwa umetendewa haki kukataliwa. Hiyo ndiyo inayomtokea mwalimu. na ingebidi hatua za kijamii, ikiwa ni pamoja na kuendelea kumsihi mwalimu mkuu aendelee kumuonya, zitumike, na ni kweli alikosea sana kuingilia mapenzi yenu na bf wako. Huo ndio ubakaji wa mapenzi. Pole sana kwa kuingiliwa katika haki yako ya kupenda.
Pole sana kwa kuingiliwa hako yako ya kupenda. Unao uhuru wa kupenda mtu unayempenda, na hakuna mtu mwenye haki ya kuingilia mapenzi yenu. Huo ni ubakaji wa mapenzi. anachokifanya, hakuna mtu yeyote anayeweza kukiunga mkono, na hata hivyo, uombe Mungu, huyo bf wako awe mwelewa, vinginevyo huyo jamaa anaweza kukuvurugia mapenzi yenu. Hapo una haki zote.mm kilichoniudhi zaidi ni kwamba yeye anafikiri ana haki zaidi ya kufanya anavotaka kwangu,,, coz bf alivopiga cm aliona jina lake na niliwahi kumwambia kwamba nna mtu angu anaitwa hivo ndo mana cwez kua nae. yeye alitumia hiyo nafasi kutaka mm nionekane malaya afu ucku huo huo alimtumia text kwamba tumelala wote , just imagine jana tena anambip bf anamtumia text za kejeli eti anisalimie .
mm kilichoniudhi zaidi ni kwamba yeye anafikiri ana haki zaidi ya kufanya anavotaka kwangu,,, coz bf alivopiga cm aliona jina lake na niliwahi kumwambia kwamba nna mtu angu anaitwa hivo ndo mana cwez kua nae. yeye alitumia hiyo nafasi kutaka mm nionekane malaya afu ucku huo huo alimtumia text kwamba tumelala wote , just imagine jana tena anambip bf anamtumia text za kejeli eti anisalimie .
Utoto unamsumbua. Mwanamke bila kutongozwa si nasikia huwa mnachanganyikiwa bhana eti annastazy?Mbona kama unamdhalilisha mwalimu mwenzako mdada! Hata kama anakuharibia ndio uje kumsema kwenye mitandao? Haipendezi kabisaa.
Kusoma sio kukombolewa mnsakankanmusa, huo ni ulimbukeni tu wa mtu! kwani mwanamke yuko mmoja??? kutoswa ndio uanaume wenyewe......., madam we mpotezee but mueleze huyo bf wako km ni muelewa yatakwisha tu!pole sana kwa usumbufu wote,
ushauri; Kwa kuwa hatujui siri yake mutual baina yenu yenu kabla hamjagombana huna haki kumuanika hapa
pili kwa kuwa na wewe umeamua kutokuwa nae hana haki kulazimisha wewe unachotakiwa kufanya ni kukaa kimya
huna haja kumjibu wala kumhusisha na boy yyte utakae kuwa nae, najua huyu unaemtaka wwe atapoteza uaminifu kwako
kwa sabb amehsahisi wwe ni kicheche.
ombi langu, walimu ombeni nafasi mkasome inaonyesha bado unahitaji kujikomboa hakuna wakukukomboa
mwisho
tatizo msumbufu saana nafanya mpango wa kupata photo ake niiweke pia