Mpango wa Mungu uko Sawa na hauna shida.. shida ipo kwetu sisi binadamu.
Wewe ni kijana mdogo, ama binti mdogo. Unayaparamia Mapenzi Kaba ya wakati. Utaachaje kuwa na Ex kibao.....?
Unaonjwa onjwa tu, kijana anachovya chovya tu. Ex hakwepeki.
Tulia mpaka muda sahihi, Mungu atakupa wa kufanana nawe.