Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku..!
Nimekuja kwenu kuwaomba kama kuna mtu yeyote ambae anafaham kwa sasa kua kuna shule inayohitaji mwalim wa masomo tajwa hapo juu tafadhari naomba anijulishe.
Kuhusu elim yangu ni mhitimu wa chuo kikuu cha udsm na Niko vizuri sana katika masomo Haya.....kwani naamin hata kwa interview nikiitwa uwezo wangu utajidhihirisha.
Nitafrahi sana kama nitapata mrejesho mzuri kwa hili swala....ASANTENI
"In God we trust"