Mwalimu mpya majanga!

Mtu analeta hoja ya msingi. Huyo ni mwl anayefundisha watoto wetu na mwisho wa siku watoto wanamaliza hawajui kusoma na kuandika mnaanza kuilalamikia serikali. Haya endelea mwl kumbe na watanzania wanafurahia unayofanya
 

cc: Munkari
 
Last edited by a moderator:
Kuvuta kwake bangi na kunywa pombe wewe kinakupunguzia nini? Kwani anakunyang'hanya mke wako .wewe ni mbeya sana acha tabia hiyo ya udomo kaya. Haya ni maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…